Erick Kalemela
R I P
- Nov 19, 2017
- 814
- 1,026
1.Kutabiriwa kwa Titanic
Miaka 14 kabla yakutengenezwa kwa Titanic.Mwandishi wa vitabu Morgan Robertson alitabiri kuzama kwa Titanic kwnye kitabu chake cha Futility,or Wreck of the Titan.Alitumia jina la Titan kusimulia Meli isitoweza kuzama,Meli yakwenye kitabu ilikua na urefu sawa na meli yakweli ya Titanic.Meli yakwenye kitabu kitabu cha Morgan ilizama kwa kugonga kwenye mwamba wa barafu kwenye Bahari ya Atlantic ya kaskazin,kitu ambacho kilikuja kutokea kwenye Titanic yakweli.
2.Gari la Archiduke Ferdinand
Kuuliwa kwa Archiduke Franz Ferdinand kulifungua Rasmi vita yakwanza ya Dunia.Gari lake lilikua na Plate number A11-11-18,Vita vyakwanza vikaisha Rasmi November 11,1918 (11-11-18).
3.Mfalme Umberto I wa Italy
Alifahamiana na mmiliki wa Mgahawa baada ya kugundua kua wote walizaliwa siku moja,Mji mmoja na wote wameoa wanawake wenye majina yanayofanana.Siku chache baadae wote wakauliwa siku moja sehemu tofauti kwa kupigwa Rasasi.
4.Ujenzi wa bwawa la Hoover
Ujenzi wa bwawa hili uligharimu maisha ya watu wengi lakini mtu wakwanza kufa alikua bwana J.G Tierny,ambaye alifariki Dec 20,1922.Mfanyakazi wa mwisho kufa kwenye ujenzi wa bwawa hili alikua mtoto wa Tierny alikufa siku sawa na siku aliyekufa baba yke miaka 13 baadae Dec 20,1935.
5.Ndugu wawili wa Hamilton.
Dereva wa baiskeli yenye Injini (Mapode) Mji wa Hamilton,Bermud alifariki mwaka 1974 kwa kugongwa na Taxii.Mwaka uliofuata 1975 eneo lile lile mdogo wake naye aligongwa na gari akiwa anaendesha Baiskeli ya Injini,Gari iliyomgonga ni ile ile iliyomgonga kaka yake,Cha ajabu kabisa Dreva ni yule yule na pia alikua amemubeba abiria yule yule aliyekua amemubeba siku anamgonga kaka mtu.
6.Ozil na Ferrari
Enzo Ferrari ni Mwanzilishi wa Ferrari ambae kwa sura anafanana na msakata Kabumbu Mesut Ozil.Alifariki mwaka ambao Ozil alizaliwa.
7.Lincoln na Kennedy
Maraisi wawili wa Marekani waliowahi kupendwa sana,Wote walikua na urefu wa futi 6,wote waliwahi kwenda Vitani kabla yakua Maraisi.wote walikufa siku ya Ijumaa,wote walikufa kwa kupigwa Risasi kichwani wakiwa wamekaa pembeni ya wake zao.