EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 8,558
- 12,683
Trust me mleta mada jiwe angekuwepo huenda ungekuwa una mkono mmoja au jicho moja
Aliuwa
Aliteka
Alibambikia kesi
Alipora watu Mali pasi haki
Alipenda kuabudiwa
Alikuwa makabila
Alivunja katiba
Alishusha heshima ya nchi
Alikuwa hashauriki
Alikuwa na ubaguzi
Alikataa kata kata kupandisha wafanyakazi msdaraja na salary kwa miaka 6 mfululizoJPM is the best president in tz kuwahi kutokea kama ifuatavyo;-
1; Alirejesha uelewa na uasili wa mwafrica
2; Hofu ya MUNGU na kumyegemea yy pale unaposhindwa
3;Mungu alijibu maombi ya watanzania ikiwemo corona ilicoromea mbali sana,na kutupa neema watz ya mvua hatukuwa na njaa wakat wote wa jpm
4; Alidhibiti kupanda bei kwa vyakula vyote bei safi kila uendapo,ya msos
5; Hakupenda kunyanyaswa masikin,wakiwemo mamachinga,
6; Alirejesha nidhamu kwa lika lote haijalish we ni nan
7; Alitatua matatzo ya wtu papo hapo bila kujali yy ni nani,
8;Aliwafanya watu wote wanaweza na kujiamin wakiwa ndani ya nchi yao,,
9;Aliamini anaweza kufanya chchte bila kutegemea misaada ya nje
na mengne mengi unaweza ongezea yaliyokukosha kwa huyu mzee asiekuja kusahaulika kirahis tz na africa kwa ujumla
1. Alizuia bunge lisionekane live ili serikali yake ikikosolewa isionekaneJPM is the best president in tz kuwahi kutokea kama ifuatavyo;-
1; Alirejesha uelewa na uasili wa mwafrica
2; Hofu ya MUNGU na kumyegemea yy pale unaposhindwa
3;Mungu alijibu maombi ya watanzania ikiwemo corona ilicoromea mbali sana,na kutupa neema watz ya mvua hatukuwa na njaa wakat wote wa jpm
4; Alidhibiti kupanda bei kwa vyakula vyote bei safi kila uendapo,ya msos
5; Hakupenda kunyanyaswa masikin,wakiwemo mamachinga,
6; Alirejesha nidhamu kwa lika lote haijalish we ni nan
7; Alitatua matatzo ya wtu papo hapo bila kujali yy ni nani,
8;Aliwafanya watu wote wanaweza na kujiamin wakiwa ndani ya nchi yao,,
9;Aliamini anaweza kufanya chchte bila kutegemea misaada ya nje
na mengne mengi unaweza ongezea yaliyokukosha kwa huyu mzee asiekuja kusahaulika kirahis tz na africa kwa ujumla
Nahisi hujaelewa mada hapa tunata p+ na c Negative10. Alinyanyasa matajiri na wafanyabiashara wakubwa kwa kuwafunga na kuwapora mali.
11. Alipiga risasi/kuteka/kuua waliokuwa wanamkosoa kwenye utawala wake.
12. Aliwakingia kifua watoto wake pendwa Sir_Bad na DAB.
13. Aliondoa Fao la Kujitoa.
14. Alishusha Mzunguko wa Fedha Mtaani.
15. Alianzisha sheria kandamizi kibao ili kufunga watu midomo.
16. Aliondoa uhuru wa vyombo vya habari.
17. ------------------------------------------------------------
18. ------------------------------------------------------------
Miaka 30 iliyopita tuliporwa wa Tanzania na wageni na viongoz wa kuu wa nchi, kwaiyo magu kupora matajiri alikuwa sahii.Aliuwa
Aliteka
Alibambikia kesi
Alipora watu Mali pasi haki
Alipenda kuabudiwa
Alikuwa makabila
Alivunja katiba
Alishusha heshima ya nchi
Alikuwa hashauriki
Alikuwa na ubaguzi