Mambo yaliyonikosha awamu ya JPM,ongeza na wewe ulilolifurahia kwake

Trust me mleta mada jiwe angekuwepo huenda ungekuwa una mkono mmoja au jicho moja
 
Kipindi cha JPM nilijifunza maskini wanachuki sana na matajiri.

Maskini walishangilia sana kuona watu wanafukuzwa kazi na kuporwa Mali zao.

Shida ya maskini wanategemea serikali kufanikiwa wakati matajiri hawaitaji hivyo.

"MASKINI WANA CHUKI NA UTAJIRI"
 
ingependeza ukatowa ushaid jins alivyouwa mkuu
Aliuwa
Aliteka
Alibambikia kesi
Alipora watu Mali pasi haki
Alipenda kuabudiwa
Alikuwa makabila
Alivunja katiba
Alishusha heshima ya nchi
Alikuwa hashauriki
Alikuwa na ubaguzi
 
Alijiona yeye mungu wa chato mpaka kufikia kujiona yeye ni bora kuriko hata mchonga manina acha viroboto wafaidi
 
JPM is the best president in tz kuwahi kutokea kama ifuatavyo;-

1; Alirejesha uelewa na uasili wa mwafrica

2; Hofu ya MUNGU na kumyegemea yy pale unaposhindwa

3;Mungu alijibu maombi ya watanzania ikiwemo corona ilicoromea mbali sana,na kutupa neema watz ya mvua hatukuwa na njaa wakat wote wa jpm

4; Alidhibiti kupanda bei kwa vyakula vyote bei safi kila uendapo,ya msos

5; Hakupenda kunyanyaswa masikin,wakiwemo mamachinga,

6; Alirejesha nidhamu kwa lika lote haijalish we ni nan

7; Alitatua matatzo ya wtu papo hapo bila kujali yy ni nani,

8;Aliwafanya watu wote wanaweza na kujiamin wakiwa ndani ya nchi yao,,

9;Aliamini anaweza kufanya chchte bila kutegemea misaada ya nje
na mengne mengi unaweza ongezea yaliyokukosha kwa huyu mzee asiekuja kusahaulika kirahis tz na africa kwa ujumla
Alikataa kata kata kupandisha wafanyakazi msdaraja na salary kwa miaka 6 mfululizo
 
JPM is the best president in tz kuwahi kutokea kama ifuatavyo;-

1; Alirejesha uelewa na uasili wa mwafrica

2; Hofu ya MUNGU na kumyegemea yy pale unaposhindwa

3;Mungu alijibu maombi ya watanzania ikiwemo corona ilicoromea mbali sana,na kutupa neema watz ya mvua hatukuwa na njaa wakat wote wa jpm

4; Alidhibiti kupanda bei kwa vyakula vyote bei safi kila uendapo,ya msos

5; Hakupenda kunyanyaswa masikin,wakiwemo mamachinga,

6; Alirejesha nidhamu kwa lika lote haijalish we ni nan

7; Alitatua matatzo ya wtu papo hapo bila kujali yy ni nani,

8;Aliwafanya watu wote wanaweza na kujiamin wakiwa ndani ya nchi yao,,

9;Aliamini anaweza kufanya chchte bila kutegemea misaada ya nje
na mengne mengi unaweza ongezea yaliyokukosha kwa huyu mzee asiekuja kusahaulika kirahis tz na africa kwa ujumla
1. Alizuia bunge lisionekane live ili serikali yake ikikosolewa isionekane
2. Alipandisha bei ya sukari na mafuta ya kula
3. Aliufungia mtandao wa kijamii wa twitter
4. Alizuia mikutano ya kisiasa kwa haiba yake mwenyewe kinyume na katiba. Kama aliona inafaa kuzuia, angeanza kubadili vifungu kwenye katiba
5. Alikula hela za wahanga wa tetemeko la ardhi bila huruma
6. Alibaka uchaguzi mkuu 2020 bila aibu
 
ingependeza ukatowa ushaid jins alivyouwa mkuu
Huo hapo

FB_IMG_15688121050368734.jpg
 
Mambo yaliyonikosha katika utawala wake;
Ubaguzi wa kikabila/kanda
Ubaguzi wa kisiasa
Wizi na ufisadi mkubwa
Uminywaji wa democracy
Utekaji
Uuaji
Arbitrary arrests
Imprisonments without trial
Alikuwa mshirikina
Aliyekosa maadili
Mropokaji
Anayedhalilisha wanawake
Mpenda sifa
Mjinga
Mpumbavu
Muwaza ngono
 
10. Alinyanyasa matajiri na wafanyabiashara wakubwa kwa kuwafunga na kuwapora mali.

11. Alipiga risasi/kuteka/kuua waliokuwa wanamkosoa kwenye utawala wake.

12. Aliwakingia kifua watoto wake pendwa Sir_Bad na DAB.

13. Aliondoa Fao la Kujitoa.

14. Alishusha Mzunguko wa Fedha Mtaani.

15. Alianzisha sheria kandamizi kibao ili kufunga watu midomo.

16. Aliondoa uhuru wa vyombo vya habari.

17. ------------------------------------------------------------

18. ------------------------------------------------------------
Nahisi hujaelewa mada hapa tunata p+ na c Negative
 
Aliuwa
Aliteka
Alibambikia kesi
Alipora watu Mali pasi haki
Alipenda kuabudiwa
Alikuwa makabila
Alivunja katiba
Alishusha heshima ya nchi
Alikuwa hashauriki
Alikuwa na ubaguzi
Miaka 30 iliyopita tuliporwa wa Tanzania na wageni na viongoz wa kuu wa nchi, kwaiyo magu kupora matajiri alikuwa sahii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1; Alirejesha uelewa na uasili wa mwafrica
mashana ulivyocheka mpk na mm umeniambukiza hahahah
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom