Mambo yalivyokuwa leo canteen

username1

JF-Expert Member
Jan 14, 2016
267
253
Leo tumeenda canteen kwetu hapa na Wafanyakazi wenzangu mambo yakawa hivi
Mimi: samahani Dada naomba Supu chapati mbili
Wenzangu : Wengine sambusa chai, chapati chai
Mimi: Dada waletee na hawa Supu sipendi kunywa Supu pekeangu watu wananiangalia
Wenzangu wakanishukuru
Basi tumekunywa
Mdada: bili Supu moja na chapati ni 3000 zidisha Kwa zilizotumika.
Mimi:eek:oh nikitoa 3000 nikalipa nikasema Wape Kila mmoja bili alipe sipendi kulipa mimi pekeangu watu wananiangalia.

Sasa Hivi Tupo ofisini hatuongeleshani nafikiri wamebanwa na kazi

Ila mm nina upendo kwa mwenzangu
 
Comedy hii ilishachezwa na Kashkash group akina Mkwere Msenego na wenzao last year!
 
Leo tumeenda canteen kwetu hapa na Wafanyakazi wenzangu mambo yakawa hivi
Mimi: samahani Dada naomba Supu chapati mbili
Wenzangu : Wengine sambusa chai, chapati chai
Mimi: Dada waletee na hawa Supu sipendi kunywa Supu pekeangu watu wananiangalia
Wenzangu wakanishukuru
Basi tumekunywa
Mdada: bili Supu moja na chapati ni 3000 zidisha Kwa zilizotumika.
Mimi:eek:oh nikitoa 3000 nikalipa nikasema Wape Kila mmoja bili alipe sipendi kulipa mimi pekeangu watu wananiangalia.

Sasa Hivi Tupo ofisini hatuongeleshani nafikiri wamebanwa na kazi

Ila mm nina upendo kwa mwenzangu
kazi za ofisi zimebana nadhani baadae mtaenda lunch tena
 
Back
Top Bottom