Silk Road Drugs - Complete step by step guide | Silk Road Drugs
Kwa wale wanaohitaji ufahamu zaidi juu ya underworld businesses pass to the Link above to get more elaborative descriptions.
Note :
Do it at your own risk
Hahahaaa, ishia hapa hapa dada, huko watu hawana huruma hata kidogo!!
View attachment 125067
Yaani unavyozidi kunikataza.........ndivyo ninavyozidi kupata hamu ya kujua.........na nitafuatilia mpaka nijue hii kitu.........
daaah si ndio nimejidai kuingia ile link majanga bwana kisimu kimeganda bwana aseeh nimejuta aloo
loading.......99.9%
scanning for open port.....
Port 80.... found
.... User saccessfully Terminated...
.
hiyo port siku wakiipiga chini ndo mtajua kuwa hivi vitu inabidi vifanywe confidential
nimejiunga JF August 2012 nikakuta TunnelGuru inauzwa na Paje na sheria zilikuwa "HAMNA NEW MEMBER WA JF BELOW APRIL 2012 ANARUHUSIWA KUPEWA MAUJANJA"
Hii ni sababu arond hizo siku Zantel waliweza kufix loopholes zao hivo members waliojiunga hicho kipindi walikuwa suspected kama wahusika wakubwa na wengi wao wakiwa IT wa zantel
Nahisi hii colonial era itarejea tena maana mna expose sana haya mambo
haya Njunwa kautoe sasa utumbo ule pale kwenye reply
mwenye masikio ya kusikia na asikie
sitaki vita wakati naonesha NJIA maana naona uko gizani najaribu kukumulikia uone bado uko Stiff-necked