Wanawake wanene hupendeza kutazama wakiwa na mavazi yao tu ila wakiwa watupu ni nadra kuwa na mvuto.
Sasa huyo na nguo zake mishimo shimo inaonekana, vuta picha akiwa mtupu sasa.
Halafu ukute mke wa mtu kamuaga mumewe anaenda kwenye VICOBA kumbe anatingisha sondo uwanja wa taifa.