Mambo ya Wikiendi

Nah. You are just a broke boy trying to step into a man's world.

Men do not behave the way you did and only boys your age will support you in this.
Karibu mkuu.
Ndio Dunia ilipofikia
 
Mazezeta yamekutana.
Haya hamna UKIMWI
Mapenzi ni kama Vita mkuu. Sisi wanajeshi tukiwa vitani suala la kupigwa risasi sio agenda.

Hata kwenye mapenzi UKIMWI ni kama bomu tuu katika uwanja wa vita. Ukikupata sawa usipokupata ni sawa pia.

Wale wa MV Bukoba walikufa Kwa UKIMWI?

Kufa utakufa hata usipofanya dhambi yoyote
 
Heee .. Pole.
Basi atakuwa amekuachia Gono.
Dhuluma siyo nzuri

Unaongea usiyo yajua Dadaangu.

Wanawake wapendao pesa hatuwaonei huruma hata chembe.

Alafu mbona huyo nimemchukulia fair sana. Je hao wengine ungesemaje?

Ndio muache kupenda vya bure
 
Inabidi jina lako nilifikishe kwenye kamati ya ugawaji wa vyeo ili tuangalie nafasi itakayokufaa katika Kambi ya kiumeni...
Haahaaaa*!!

Nitashukuru kupokea Gamba la kiumeni
 
Jf burudan ni kinyama aise..
Dah kwa hiyo ndo ukamtafuna dry yan!!ko ukaamua kuuza mechi kilaini kabisa..duh!!haya bhana.ukikaa mwezi mmoja jongea taratiiiiibu kitu cha afya mwenyewe
 
Kila nikitaka kucoment nafuta sijui kwanini. Anyway tupe updates hajaendelea kukutafuta? Hajashtuka kuwa umemchezea chezo?
 
inakuuma kwa sababu ni mwanamke mwenzio au???asante nimepata mbinu mpya,,apa kuna dem nimemwambie tukalale hotel kali kesho,,kasema aya,,,natumia technique iyo iyo,,nimemwambia nitampa el 80,,,,,,wacha tuwale vizuri dadeeeeq
 
Dhambi zako hapo ni hizi, uongo, ulaghai, kujipatia penzi kwa njia zisizo halali na uzinzi sasa adhabu ndo mi sijui ngoja ni reffer bible na quran ntarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…