Nimeipenda sana Dinazarde, ila umeniharibia kwa kuweka conclusion ya "Baba kidawa hoiiii" Let the reader imagine his own conclusion. That is the essence of a joke! Thanks!USWAZI noma!!
Mama KIDAWA Ni Mjamzito,
Hawezi Kumpa Mumewe Penzi.
Akamwonea Huruma Kwa KIU Aliyo Nayo.
Akampa elfu 5 Akamwambia Akatulize Kiu Kwa ASHURA.
Jamaa Kufika kwa ASHURA Akamtolea Nje, eti hela ndogo.
Mama KIDAWA Akaja Juu Akamwambia Mumewe,
"Usikonde! Nenda Kwa MAGE, ni mtu Wangu
Ila Huyu ASHURA Atanikoma.
Yeye Akiwa Na MIMBA Mumewe nampaga Bure,
Leo Hii Anajifanya Mjanja.
Tutaona akipata mimba!
Baba Kidawa Hoooiii!!!
Nikuambie ukweli Dinazarde. Mimi si mwalimu ila ni mshabiki sana wa jokes na utani. Nazipenda sana jokes kiasi kwamba nimejifunza kanuni za kuandika jokes nzuri. Jokes nyingi hapa kwenye jukwaa ni nzuri sana sana ila kwa bahati mbaya nyingine zimeharibiwa kwa kuongezewa mistari inayopunguza kilo za hiyo joke.We ni mwalimuuuu halo
Nikuambie ukweli Dinazarde. Mimi si mwalimu ila ni mshabiki sana wa jokes na utani. Nazipenda sana jokes kiasi kwamba nimejifunza kanuni za kuandika jokes nzuri. Jokes nyingi hapa kwenye jukwaa ni nzuri sana sana ila kwa bahati mbaya nyingine zimeharibiwa kwa kuongezewa mistari inayopunguza kilo za hiyo joke.
Ya balaa vipi? Mie sio mtu wa balaa kama Richard Mabala wa Mabalaa! Tunachokizungumzia hapa Dinazarde ni mambo ya jokes - uandishi na kanuni zake - basi. Hiyo thread ntaileta siku za karibuni na title yake itakuwa: Kwako Dinazarde. Sit back and wait to enjoy the thread.Isiwe ya balaaa aa
Ya balaa vipi? Mie sio mtu wa balaa kama Richard Mabala wa Mabalaa! Tunachokizungumzia hapa Dinazarde ni mambo ya jokes - uandishi na kanuni zake - basi. Hiyo thread ntaileta siku za karibuni na title yake itakuwa: Kwako Dinazarde. Sit back and wait to enjoy the thread.