Mambo ya tukuyu haya

hili ni pori au mashamba..
Kwa mlio zaliwa kukua na kuanza kazi mjini, na pengine elimu ya physical geography ilikuwa haitoshi, hamtaweA kutambua Tea Plantations kama hizo hapo picha ya juu na picha ya chini mashamba ya nafaka.

Si vibaya maana somo kubwa la mjini ni kula tu chochote kitokacho shamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…