Mambo ya Sumbawanga hayo!!

Ngoja kuna jamaa nimwambie umeingilia fani za watu tuone kama leo utalala
 
Kila usafiri una dreva wake!
 
Kampuni nzuri sana hiyo ina strategy and tactical awareness!
 
Hii picha sio Sumbawanga ni huko Nigeria.....nilishawahi kuiona nairaland......

Hata ukitazama hayo maandishi kwenye ubavu wa hiyo gari hayawiani na gari yenyewe.......

Alafu hata hao waliopo ndani ya gari wanaonekana kumshangaa huyo fisi.....na huyo bwana.....
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Duu kumbe tumeingizwa chaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…