Mambo ya sikukuu haya

Liangalie linavyopigwa likitoka nje anajisifu mke wake hafurukuti ndani, si aseme alilala lupango baada ya.kusahau kitambulisho.
 
Na sauti ya kidume ikasikika kutoka ndani ''mshikeni nitamuua''!Lakini alivyotoka,mwanaume ana nundu kama kumi na saba hivi,lol!:smow:
 
Itakuwa baba alishachoka na kisamvu akaona nibora akale mchecha ili atulezee kiu ya sikukuu na ni jambo la kawaida hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…