Mambo ya sabasaba

Angalizo .. huyo wa pili shemeji yenu, mtoto mkali toka huasibu, napiga vyumbu mwenyewe...
' hao wengine nawagawa bureee ukitaka namba zao ni pm
Basi we ni mchepuko tu maana jamaa aliopo apo yupo pale kati mji mdogo
 
Haya ndio mambo tunataka..lazima uwe na mbinu..ngoja tukanunue vocha sabasaba
 
shikamoo tig0 yule wa mwisho kabsa ni wangu wa pili kutoka mwanzoni ni wangu na watatu pia halikadhalika na nne ni wangu wengine nmewabakishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…