Kama ulikuwa hujaanza kujifunza kuwa tajiri, ujifunze sasa. Maana unaweza kutafuta hela na ukazipata. Ila usiwe tajiri.
Sifa ya utajiri ni kuendelea kuishi kizazi hadi kizazi.

Yeah kwa watambuzi wa mambo wanaelewa.
Halafu yawezekana kwenye family ni yeye tuu mwenye pesa. Na hivyo ndivyo inavyokuwa.
Marufuku wengine kutajirika kwenye familia yake. Keshawalamba nyota kitamboo 😂
Yeah kwa watambuzi wa mambo wanaelewa.
Halafu yawezekana kwenye family ni yeye tuu mwenye pesa. Na hivyo ndivyo inavyokuwa.
Marufuku wengine kutajirika kwenye familia yake. Keshawalamba nyota kitamboo [emoji23]