Vinci Dayot Upamecano
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 527
- 1,310
Ukijibiwa naomba uukize umri wake afu unitaggSorry ww ni jinsia gani?
Tuanzie hapo kwanza
MmmmmhAsalaam Aleykum warahmatullah wabarakatul, Ramadan Mubarak.
Penye hela nyingi hapaharibiki neno, kuna mshkaji wangu mmoja hiv ametusua bwana, sasa siku ya Jana Ijumaa alinipa mualiko kwenye Hafla fupi ya kumpongeza Binti yake wa miezi 10 kwa sasa, ameweza kutembea mwenyewe.
Kwanza sherehe ilikuwa sio baridii, Wageni walikuwa nyomi Ile mbayaa, yaani watu walikuwa ni wengi sana waliokwenda kusherehekea mtoto ameweza kutembea mwenyewe (na mimi pia ni miongoni mwao). Ilikuwa ni kama li'sherehe fulani hivi likubwa la harusi, Kuanzia muziki, vyakula, vinywaji, wageni, ukumbi, Maonyesho hadi Zawadi kumbe ni mtoto ameweza kutembea, wanangu tutafute mboga.
Jamaa ni kawaida yake tangu atusue (naongea kwa kumsifu sio kwamba nampiga madongo) amekuwa anafanya vi'event fulani hiv vyenye maudhui ya kawaida kwa gharama kubwa sana (pesa si ipo bwana). Jamaa anakwambia tangu anazaliwa mpaka mwaka juzi 2021 hakuwahi kufanyiwa Birthday Party, Sasa hiyo mwaka Jana alijifanyia Birthday Party ya kufuru, watu tulikula, kunywa na kusaza.
Mwaka Jana 2022 kafanya bonge moja la Party kuzindua nyumba yake, mwaka huohuo kamfanyia Party moja ya kutisha mtoto wa sister'ake kumpongeza kwa kuhitimu Nursery.
Bado una ule mtazamo wako kuwa "Pesa haiwezi kununua furaha"?
Mimi ni mwanaumeSorry ww ni jinsia gani?
Tuanzie hapo kwanza
Nina miaka 44 natimiza juni
Tafuta dollariMmmmmh
Masikitini akipata matako hulia mbwata.Asalaam Aleykum warahmatullah wabarakatul, Ramadan Mubarak.
Penye hela nyingi hapaharibiki neno, kuna mshkaji wangu mmoja hiv ametusua bwana, sasa siku ya Jana Ijumaa alinipa mualiko kwenye Hafla fupi ya kumpongeza Binti yake wa miezi 10 kwa sasa, ameweza kutembea mwenyewe.
Kwanza sherehe ilikuwa sio baridii, Wageni walikuwa nyomi Ile mbayaa, yaani watu walikuwa ni wengi sana waliokwenda kusherehekea mtoto ameweza kutembea mwenyewe (na mimi pia ni miongoni mwao). Ilikuwa ni kama li'sherehe fulani hivi likubwa la harusi, Kuanzia muziki, vyakula, vinywaji, wageni, ukumbi, Maonyesho hadi Zawadi kumbe ni mtoto ameweza kutembea, wanangu tutafute mboga.
Jamaa ni kawaida yake tangu atusue (naongea kwa kumsifu sio kwamba nampiga madongo) amekuwa anafanya vi'event fulani hiv vyenye maudhui ya kawaida kwa gharama kubwa sana (pesa si ipo bwana). Jamaa anakwambia tangu anazaliwa mpaka mwaka juzi 2021 hakuwahi kufanyiwa Birthday Party, Sasa hiyo mwaka Jana alijifanyia Birthday Party ya kufuru, watu tulikula, kunywa na kusaza.
Mwaka Jana 2022 kafanya bonge moja la Party kuzindua nyumba yake, mwaka huohuo kamfanyia Party moja ya kutisha mtoto wa sister'ake kumpongeza kwa kuhitimu Nursery.
Bado una ule mtazamo wako kuwa "Pesa haiwezi kununua furaha"?
Five years later......Asalaam Aleykum warahmatullah wabarakatul, Ramadan Mubarak.

Inaweza kununuaAsalaam Aleykum warahmatullah wabarakatul, Ramadan Mubarak.

Doooh shikamoo mkuu niliingia kichwa kichwa[emoji16][emoji16]Nina miaka 44 natimiza juni
Marahaba dogo, Hujambo!
Tumia Pesa ikuzoee bobMasikitini akipata matako hulia mbwata.
Una uhakika gani kama mimi Sina Pesa?, Chunga sana kijanaUmekuja kumsifia mwanaume mwenzio ana pesa...kama mwanaume umri wako bado mdogo saana kifkra
Jamaa anatumia hela kwa namna fulani ya walakini, anyway Anajia yeye na Mungu wake.Chanzo cha hizo pesa.
Maana watu wa style hii wanapaswa kufanya hivyo ili kukuza utajiri wao.
Kadiri anavyofanya ndio anavyozidi kitoboa.
Sawa lkn tafuta Mawe kwanza JombaaInaweza kununua
Bob, kuna kuwa na hela na kuna kuwa tajiri. Mtu yeyote anaweza kuwa na hela, lakini sio kila mtu anaweza kuwa tajiri.Tumia Pesa ikuzoee bob
Got you, Appreciate.Bob, kuna kuwa na hela na kuna kuwa tajiri. Mtu yeyote anaweza kuwa na hela, lakini sio kila mtu anaweza kuwa tajiri.
Matendo ya huyu jamaa yanaonyesha ana pesa, lakini sio tajiri.
Utajiri ni discipline, utajiri ni lifestyle, utajiri ni kuinvest.
Utajiri ungekuwa hivyo u gesi kiasi Bakhresa anafanya party ya kuona paka wakinyanduana