hyo picha ya 3 kwao ni kitu ch kawaida sn kwa hzo gari zinazoenda shamba...afu jamaa barabarani wanaendesha gari kwa fujo sn. Niliwahi kupanda hzo gari ninaenda gambe kinazini aise nilitamani kushuka.
Subiri uchaguzi mdogo ndipo utakapojua kuwa tz tuna mijihela sisi!............lakini baada ya uchaguzii hali ndo km uonavyo................wkt wa kampeni wapemba wanashangilia pilau km kawa