Mambo ya ndoa bana!!

Mambo ya ndoa bana!!

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,671
Baada ya ugomvi wa siku nzima, mume na mke hawaongeleshani. Mume alikua anasafiri kesho yake mapema sana, kwa kuwa bado alikua na hasira, alishindwa kumwambia mke wake amwamshe hivyo aliamua kuchukua karatasi na kumwekea mke wake kitandani iliyoandikwa "niamshe saa kumi nasafiri na basi ya kwanza".

Kweli mke aliamka muda huo na kuona ule ujumbe, alichofanya alichukua pen akaandika chini yake:

"amka, saa kumi tayari"
 
Hahahaha fundisho kwa wanaume wenye mfumo dume,cangeweka alarm ya cmu.
 
teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh
ti ti ti ti ti ti ti ti ti ti...tata muraaaaa..naua
 
Back
Top Bottom