Jamani kama raia mwema nimewiwa kuandika haya maana naipenda nchi yangu na viongoz wangu.
Jambo la kwanza kiongozi wa taifa anapaswa kuwa nalo. Niuwezo wakuwafanya watu wa taifa lake kuwa wamoja. Kiongoz wakitaifa siku zote hapaswi kujiingiza kwenye kauli au mambo yanaweza kuligawa taifa either kwa rangi,dini,kabila, mali, au jinsia. Nilazima kiongoz mkuu awafanye watu wote wawe wamoja pasipo kujali hayo hapo juu.
Pili anapaswa kuijuwa katiba nakuilinda katiba kwa uchungu mkubwa sana. Kiongoz mkuu wa nchi anapo apa ana apa kuilinda katiba ya nchi kwakuwa katiba ndio msaafu wa maisha ya wananchi wa taifa kila siku nilazima ailinde nakuifuwata kwa wivu mkubwa asipo fanya hivyo ataumiza watu nakutengeneza taifa la watukutu ama wavunja sheria na wakati mwingine atakuta yeye ndie chanzo jambo ambalo ni hatari kwa ustawi wa taifa.
Tatu hapaswi kuwa na makundi hasa akiwa nikiongoz anawaongoza watu wenye mirengo tofauti ktk hili lazima ajiepushe na makundi ili kulinda umoja na usalama wa taifa lake.
Nne nilazima awe anashaurika na anapenda kukosolewa haya yote nilazima awe na moyo wakuyabeba nakuyaishi kinyume chake asipo kubali kushaurika ama kukosolewa anaweza kuvuruga kule anaenda jambo linaweza kuisumbuwa nchi na serikali yake.
Tano nilazima awe ana akiba ya maneno. Sio kila kitu kiongoz mkuu wa kitaifa ana ambiwa au anakisikia anaswa kukisema au kukiongea hadharani yapo mambo kiongoz wakitaifa hapaswi kuyaongea au hata kuyatolea mfano maana yanaweza kutafisiriwa kivingine yakachafuwa hali ya hewa ya nchi au wakati mwingine yaka hatarisha maisha ya makachero waliopo maeneo ya tukio. Nadhani naeleweka.
Sita linafanana na la tano nilazima awe na uwezo wakumeza siri anazo ambiwa kwa masilah ya taifa na usalama wa wale wanampa taarifa. Asipofanya hivyo ni rahisi kufichwa mambo ya msingi jambo ambalo ni hatari.
Saba kama kiongoz hupaswi kuonyesha upendeleo wa wazi kwa mtu mmoja pindi anavuruga yeye haguswi lakin wengine wenye makosa madogo kuliko yake unawasakama na kuwavua madaraka. Ukifanya hivyo na watu wakajuwa basi kama kiongoz wakitaifa unakuwa umewagawa watu kuanzia serikalini mpaka uraian jambo ambalo ni hatari kwa uongoz wako mpaka usalama wa nchi. Kiongoz mkuu wakitaifa lazima awaongoze watu wote sawa.
Nane upo msemo unasema karipia polepole na sifia kwa nguvu sana akimanisha kama kiongoz nilazima pindi unaonya watu uwaonye kwa tone yakuleta aman na sio chuki baina yao lakin ukisifia sifia kwa nguvu wote wajuwe umuhimu wakufanya kazi.
Tisa nilazima ukumbuke kuna maisha baada ya uongozi hivyo usijisahau ukatengeneza maaduwi wengi kuliko marafiki. Hatumanishi ucheke na wajinga ila hekima itumike na busara ili uwe mwenye furaha na watu wako wawe na furaha.
Kumi nilazima kama kiongoz mkuu wakitaifa kujiepusha na maneno yanaweza kuonyesha unaingilia miimili mingine hilo liepuke sana.
Kumi namoja nilazima uwe na uruma pamoja na upendo ukikumbuka wale unawaongoza hawaishi kama wewe lakini ndio waliokuchaguwa wakumbuke na uwhurumie usiwe mkatili kwao wakajuta kwanin walikuchaguwa jambo Mungu akisikia anaweza kuwajibu.
Kuminambili tenda haki kwa kila mmoja pasipo jali tajiri au masikini.
Mwisho usimkumbatie mtu mmoja anaye haribu kazi yako au kutia dowa ukifanya hivyo unawagawa watu.