halafu inaonekana ni sharo baro. mcheki anavyotamani hicho kiuno. mwambie amuogope Mungo aliyemuumba,hayo mambo ya mchanganyiko ameyakataza kwani mkichanganyika tu lazima hisia za kingono ziibuke vichwani. Jiepushe Ngono usisubiri mpaka uvae kondom hapo utakuwa umesha muasi Mungu.