Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,081
Wakati watu wakiwa wanakata tiketi wanaangalia majina. Siku moja nasafiri, kuangalia list ya abiria kwenye chat, nikaona jina Irene Emmanuel si nikajiweka pembeni yake. Kilichonipata ndio hiki sasa!!!!Usiwe na mawazo ya kula tunda kimasihara
Wewe ndio wale mnafungulia ear phones zenu kwa sauti kubwa, halafu mnaja.ba bwiiiiiìiiiii kwa sauti mkiamini mtu wa pembeni hawezi sikia kwa sababu ya unene na ukubwa wa muziki, kumbe muziki unausikikiza peke yakoMimi nikiwa safarini sipendi kuongea ongea sana.
Mara nyingi nina headphones zangu nakula ngoma nilizodownload kwaajili ya Safari.
Si useme tu ulipiga viroba? Hata mimi hizo zilikuwa ndio zangu. Bia zinazingua jukojoa kwingi unakera watuKuna siku nilikua nimelewa sana halafu kwenye bus nilipanda kama staff(dereva tunajuana,classmate wangu)....
Sasa ile naingia tu harufu ya konyagi ikasambaa bus lote..
Kuna mwanamke akaropoka"naona mmepakia pipa la komoni humu mnatukera"...kumbe naenda kukaa nae kwenye seat moja,,,nilisafiri kwa manyanyaso...
Mwisho dereva akaniita nikaenda kukaa nae pale mbele akaninunulia na konyagi nyengine...
Hii engine ya mchina au Sweden πΈπͺ?Wakati watu wakiwa wanakata tiketi wanaangalia majina. Siku moja nasafiri, kuangalia list ya abiria kwenye chat, nikaona jina Irene Emmanuel si nikajiweka pembeni yake. Kilichonipata ndio hiki sasa!!!!
Kumbe zigo lenyewe ndio hili, nilisafiri kwa kukalia nusu tako toka Dar hadi Kigoma.
View attachment 2594669
Kuna siku enzi hizo janki nasoma, natoka shule Tosamaganga naenda home Tanga. Basi ikafika Kitonga Comfort Hotel, nikala msosi wangu kisha nikachukua viroba kama nane hivi nikawa nafyonza mdogo mdogo.Kuna siku nilikua nimelewa sana halafu kwenye bus nilipanda kama staff(dereva tunajuana,classmate wangu)....
Sasa ile naingia tu harufu ya konyagi ikasambaa bus lote..
Kuna mwanamke akaropoka"naona mmepakia pipa la komoni humu mnatukera"...kumbe naenda kukaa nae kwenye seat moja,,,nilisafiri kwa manyanyaso...
Mwisho dereva akaniita nikaenda kukaa nae pale mbele akaninunulia na konyagi nyengine...
Engine ya Gari JembeHii engine ya mchina au Sweden πΈπͺ?
Mkuu umevumbua code..Si useme tu ulipiga viroba? Hata mimi hizo zilikuwa ndio zangu. Bia zinazingua jukojoa kwingi unakera watu
Si ndio zilikuwa zetu aiseeMkuu umevumbua code..
Usitanue miguu na kujiachia kama uko kwenye sofa lako nyumbani1. Salimia unayemkuta kwenye siti maana hujui ya baadae. Inakera hukusalimia halafu baadae unaanza kuuliza "Eti hapa tumefika wapi?" [emoji849][emoji849][emoji849]
Ongezea la kwako hapo kama unalo.
Epuka kula ovyo ovyo hasa hasa vyakula kama ndizi mbivu, mahindi ya kupikwa, vyakula vyenye majimaji mengii, hii itakusaidia kuepukana na tatzo la kuharisha au kutapika njianii1. Salimia unayemkuta kwenye siti maana hujui ya baadae. Inakera hukusalimia halafu baadae unaanza kuuliza "Eti hapa tumefika wapi?" [emoji849][emoji849][emoji849]
Na hapo ulipo umefunga na ukifungulia tu straight kwenye nyagi kama kawaida.Kuna siku nilikua nimelewa sana halafu kwenye bus nilipanda kama staff(dereva tunajuana,classmate wangu)....