Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 312
- 533
Mwaka huu ctamani.kabsa vita lkn kwa mwendo huu wa ccm na polis na viongozi wa serkali wactaa kuyojua maana ya utumishi wao DAMU inaweza kuwa njia sahihi ya kuwatoa ccm madarakani
Mwaka huu ctamani.kabsa vita lkn kwa mwendo huu wa ccm na polis na viongozi wa serkali wactaa kuyojua maana ya utumishi wao DAMU inaweza kuwa njia sahihi ya kuwatoa ccm madarakani
Usiombee haya mambo ya kumwaga damu, it's worse n painfully more than u can imagine! Mungu atusimamie amani itawale
Cjui kama umesoma vzr post yangu na kuielewa vzr
17. Kwa kuwa Polepole alikiri Warioba ni "Role Model" wake, leo tumemjua anayemtuma Polepole kutukana UKAWA,
18. Jeshi la Polisi linatumika kisiasa. Wameshindwa kuzuia maandamano "haramu" ya CCM na kuzuia mkutano ilipofika saa 12 kamili kama sheria inavyotaka,
19. Miongoni mwa watu wanaopaswa kuchunguzwa UKAWA ikishika dola ni pamoja na Jaji Joseph Warioba na Mzee Mkapa,
20. CCM haifai kuendelea kuwa madarakani baada ya October 25.