software master
Member
- May 11, 2020
- 9
- 14
hivi mkuu hawa VETA au DIT wana course zinazohusu mobile repair online? Au hadi mtu aende chuoni?Flashing tools (Drivers, Roms) ROMS hapa unamahanisha Nini??.
Una huakika kuwa hivi ulivyotaja mtu akiwa navyo anakuwa mbobezi katika kuflash simu???
Nashauri yeyote anaetaka kujua kuflash au kuripea simu aende Veta au DIT maana Kama una cheti toka ktk moja wapo ,Siku zijazo utoruhusiwa tengeneza/kuflash simu na TCRA. Wewe mwenyewe inaonekana unaunga unga tu .ujui kitu...
Simu za Samsung,Nokia,Huawei,Tecno,....n.k bila dongles uwezi flash au kureprogram,IMEI writing na kutoa locks ..
ndo nimefeli sasa, zimekuja nyingi lakini zote zimegomaMsafiri Kasian bro mbona uki google zinakuja sites nyingi ila usisahau kuextract file
Ni hivi ushauri wangu ni kuwa mwende mkajifunze kwenye shule husika VETA na DIT muache ukanjanja kwani TCRA muda sio mrefu .itaondoa mafundi wasio na taharuma ya ufundi mitaani kote nchini.Chipukizi bro so ukiwa na cheti ndio unaanza flash sim au unaandaa vifaa then ndio unafanya usajili nilichosema huwezi fanya kazi bila ya kua na vifaa tajwa hapo juu bro uewelewa mdogo tuu

Kwa Sasa Awana online courses,ila uhenda zikaja hivi karibunihivi mkuu hawa VETA au DIT wana course zinazohusu mobile repair online? Au hadi mtu aende chuoni?
haujanijibu mimiNi hivi ushauri wangu ni kuwa mwende mkajifunze kwenye shule husika VETA na DIT muache ukanjanja kwani TCRA muda sio mrefu .itaondoa mafundi wasio na taharuma ya ufundi mitaani kote nchini.
Wanna mpango huo na pia Google VSOMO ( ni online MAFUNZO toka Veta kutumia simu au tablet)haujanijibu mimi
Veta,dit sijui Tid ya nini kuna dogo hapa kwetu la 7 anakuflaahia simu zote ila wewe ndio uende hio dit yako wengeni huku wanafanyia ujuzi sio chetiFlashing tools (Drivers, Roms) ROMS hapa unamahanisha Nini??.
Una huakika kuwa hivi ulivyotaja mtu akiwa navyo anakuwa mbobezi katika kuflash simu???
Nashauri yeyote anaetaka kujua kuflash au kuripea simu aende Veta au DIT maana Kama una cheti toka ktk moja wapo ,Siku zijazo utoruhusiwa tengeneza/kuflash simu na TCRA. Wewe mwenyewe inaonekana unaunga unga tu .ujui kitu...
Simu za Samsung,Nokia,Huawei,Tecno,....n.k bila dongles uwezi flash au kureprogram,IMEI writing na kutoa locks ..
Itachukua muda sana hio tcra labda iwapeleke shule ila ukanjanja ndio ujuzi na vipajiNi hivi ushauri wangu ni kuwa mwende mkajifunze kwenye shule husika VETA na DIT muache ukanjanja kwani TCRA muda sio mrefu .itaondoa mafundi wasio na taharuma ya ufundi mitaani kote nchini.
Sawa wazungu walioweka mashule ni wajinga.wewe na huyo was std 7 ni maprofesaVeta,dit sijui Tid ya nini kuna dogo hapa kwetu la 7 anakuflaahia simu zote ila wewe ndio uende hio dit yako wengeni huku wanafanyia ujuzi sio cheti
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa wazungu walioweka mashule ni wajinga.wewe na huyo was std 7 ni maprofesa
NdioSawa wazungu walioweka mashule ni wajinga.wewe na huyo was std 7 ni maprofesa