M Mwanapropaganda JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,235 Reaction score 2,512 Feb 23, 2015 Thread starter #21 mamaafacebook said: sjui jibu hili analo 1st AID Click to expand... Yeye ni nani kwako? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Feb 23, 2015 #22 Mwanapropaganda said: Yeye ni nani kwako? Click to expand... my love wangu
M Mwanapropaganda JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,235 Reaction score 2,512 Feb 23, 2015 Thread starter #23 mamaafacebook said: my love wangu Click to expand... Ndio yule wa south africa?
M mamaakemtu Member Joined Feb 4, 2015 Posts 7 Reaction score 8 Feb 23, 2015 #24 Hahaaaa nliona mahali et unajidai blak is beauty wakat michepuko ya mpenz wako wote weupe jichubue tu mama weus achia mkaa...nlicheka sana
Hahaaaa nliona mahali et unajidai blak is beauty wakat michepuko ya mpenz wako wote weupe jichubue tu mama weus achia mkaa...nlicheka sana
M Mwanapropaganda JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,235 Reaction score 2,512 Feb 23, 2015 Thread starter #25 mamaakemtu said: Hahaaaa nliona mahali et unajidai blak is beauty wakat michepuko ya mpenz wako wote weupe jichubue tu mama weus achia mkaa...nlicheka sana Click to expand... Misemo kama hiyo inaharibu ufahamu wa watu na kuwafanya wakose kujiamini.
mamaakemtu said: Hahaaaa nliona mahali et unajidai blak is beauty wakat michepuko ya mpenz wako wote weupe jichubue tu mama weus achia mkaa...nlicheka sana Click to expand... Misemo kama hiyo inaharibu ufahamu wa watu na kuwafanya wakose kujiamini.
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 Feb 23, 2015 #26 Wateka uzi washafanya yao
M Mwanapropaganda JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,235 Reaction score 2,512 Feb 23, 2015 Thread starter #27 slim5 said: Wateka uzi washafanya yao Click to expand... Wamefanya nini?
ragin JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,391 Reaction score 9,378 Feb 23, 2015 #28 Mwanapropaganda said: Ni akina nani nyiye mnaosemwa? Click to expand... hao makope bandia, hao lip bandia, hao makalio bandia wanao penda ni wadada je kuna mwanaume anavyo hvyo vitu? Ndo maana nkakwambia kwan umeelezea wanawake tu?
Mwanapropaganda said: Ni akina nani nyiye mnaosemwa? Click to expand... hao makope bandia, hao lip bandia, hao makalio bandia wanao penda ni wadada je kuna mwanaume anavyo hvyo vitu? Ndo maana nkakwambia kwan umeelezea wanawake tu?
M Mwanapropaganda JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,235 Reaction score 2,512 Feb 23, 2015 Thread starter #29 Me too said: hao makope bandia, hao lip bandia, hao makalio bandia wanao penda ni wadada je kuna mwanaume anavyo hvyo vitu? Ndo maana nkakwambia kwan umeelezea wanawake tu? Click to expand... Nimewaelezea hao kwa kuwa imekuwa too much, yaani kila unayekutana naye ni fake tu tofauti na hao unaodai sijawasema.
Me too said: hao makope bandia, hao lip bandia, hao makalio bandia wanao penda ni wadada je kuna mwanaume anavyo hvyo vitu? Ndo maana nkakwambia kwan umeelezea wanawake tu? Click to expand... Nimewaelezea hao kwa kuwa imekuwa too much, yaani kila unayekutana naye ni fake tu tofauti na hao unaodai sijawasema.
B Big Baba JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 251 Reaction score 78 Feb 23, 2015 #30 lips bandia???izi sijakutana nazo bado mwenye picha tafadhali anisaidie ufahamu
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 Feb 24, 2015 #31 Mwanapropaganda said: Wamefanya nini? Click to expand... Wanawajibika
M Mwanapropaganda JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,235 Reaction score 2,512 Feb 24, 2015 Thread starter #32 slim5 said: Wanawajibika Click to expand... Nimekuelewa mkuu.