'Mambo ya Jioni Hayo'

Hivi kuna wapiga picha wa hapa nyumbani wanaopiga picha kama hizi? kama wapo ningependa kuziona kwa kweli
Wapo lakini tulizozoea kuziona ni za kwenye magazeti na hao hawakutoi mpaka upenyeze bahasha ya khaki, sasa hao wanyama wenyewe hawatoi bahasha!

Wapo lakini tulizozoea kuziona ni za kwenye magazeti na hao hawakutoi mpaka upenyeze bahasha ya khaki, sasa hao wanyama wenyewe hawatoi bahasha!

Lakini nadhani ni bora kama wangekuwa na portfolio websites, au kama kuna collective libraries, maana ni documentation nzuri. Also biashara ni matangazo, watu wakiona ulizopiga ni rahisi hata kukupa kazi.
 
Wekeni za binadamu!:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::becky::becky::becky::becky:
 
Reproduction system ipo kwenye wakati wake, acha nao wanyama wafurahi.
 
Lakini nadhani ni bora kama wangekuwa na portfolio websites, au kama kuna collective libraries, maana ni documentation nzuri. Also biashara ni matangazo, watu wakiona ulizopiga ni rahisi hata kukupa kazi.
Tatizo letu hatuamini katika uwekezaji utakaokinufaisha kizazi kijacho, na hata tunashindwa kuwekeza kwenye mambo yanayoweza kurudisha gharama katika miaka 15 walau. Tunataka kuekeza leo na kuvuna leo na ndio maana local blogs zote na websites usipomuandika Wema na Daimondo hakuna atakayefuatilia.

Du yani bwana Simba kaupata utamu woooote wa Mbunye yani hadi kakenua haaaaaaa.....
 
Huyo farasi nouma!... anakula vitu huku anasindikiza na kisses kibao...
 
nimejifunza kuwa kiasili mwanamke huwa chini. sisi ishu za cowgirl , sijui reverse cowgirl tumetoa wapi?. inawezekana zinatupunguzia performance. kuanzia leo ni missionary tu niikienda mbali ni doggie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…