Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,474
- 119,280
Tanzania kisiwa cha amani....chenye utajiri tele....
2015 polisi ya marekani imeua raia karibia 1000, polisi ya Tanzania je????
Hiyo ni asilimia ngapi ya population nzima ya Marekani?
Na hao karibia 1,000 wote walikuwa raia wasio na hatia hata kidogo eh?
Kwamba walifuatwa tu na polisi wakauliwa bila sababu yoyote ile eh?
Na ni polisi wangapi waliuliwa wakiwa kazini hiyo mwaka jana?
Yeah..so you know what it means to blow things out of proportions right...???