mambo ya ipogplo hayo

Huko Ipogplo ndiyo wapi mkuu hebu funguka basi!Ni kwa wapiga box au Bongo?
 
aisee nimeona hii picha imenikumbusha mbali sana mara ya mwisho kufika ipogoro 1990, my childhood place,miaka mingi sasa imepita ipo siku moja niatenda kutembea iringa town na familia yangu niwaonyeshe sehemu niliyoipenda sana utotoni nilikuwa natoka gangilonga mpaka hapo mtoni kuogelea na kuvua samaki
kama kuna mtu anapicha zaidi za iringa town arushe hapa jf
 
Nyuma ya milima kuna Njia ya juu kwa juu ya miguu mpaka Luhota, Ikuvilo, hadi Nyabula Mission.

Mtumishi umenikumbusha mbali sana. Likizo ya June 1987 nikiwa form II. Nilikwenda kutafuta Ada huko.
Asante sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…