Sio dawa niliwahi kuwa na aliyemaliza form four lakini mambo yake yaliniacha hoi, tulikuwa na sherehe ndogo home sasa kuepusha usumbufu wa kuosha vyombo tukatumia disposable plates vijiko, nyuma na glass, sherehe ilinoga mpaka saa tano usiku hivi wageni wakatawanyika sisi tukalala
Huku nyuma mdada hakulala aliosha disposable zote kuamka asubuhi weee acha tu nilicheka mpaka nikakaa chini