Mambo ya escrow

Mambo ya escrow

dapam

Senior Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
108
Reaction score
37
Jeuri ya noti
 

Attachments

  • Mkumba 20150410_111747.jpg
    Mkumba 20150410_111747.jpg
    20.7 KB · Views: 915
Daah,unakata gogo katika choo ya gold?,harafu unachambia dola?,hii kiboko.
 
hata mie na subili nishinde kwa jay ili nikatengeneze kama icho
 
hata mie na subili nishinde kwa jay ili nikatengeneze kama icho

Usije ukafanya hivo, kuna mcezaji mmoja huko Brazil zilimtembelea akawa antumia noti kuwashia sigara (yaani anawasha kiberiti halafu awasha noti ndo sigara inawashwa) sasa zilipomwishia jamaa alikuja kuwa omba omba
 
masikini akipata - maXXko hulia mbwata , ziatikazo wa wizi au uhalifu pia huwa hazina uchungu
 
bila shaka hicho kitakuwa ni choo cha floyd mayweather
 
Back
Top Bottom