PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,787 Nov 10, 2013 #2 si uweke hata maelezo aisee!
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,007 Nov 10, 2013 #3 Nilivyokuja speed sasa.......!!!!!
princetx JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 587 Reaction score 265 Nov 10, 2013 #4 Hiyo lounge ya ndani ya ndege, upande wa business class. Hiyo ni ndege ya ghorofa ambayo business class yake ipo juu.
Hiyo lounge ya ndani ya ndege, upande wa business class. Hiyo ni ndege ya ghorofa ambayo business class yake ipo juu.
M MWANAKA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2013 Posts 4,894 Reaction score 4,477 Nov 10, 2013 #5 wenye fedha zao wanafaidi kwakweli
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Nov 10, 2013 #6 si mchezo mpaka na mini bar kwenye ndege!!
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Nov 10, 2013 #7 sipati picha kule chin kwa kina sisi
Deshmo JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 4,820 Reaction score 4,264 Nov 11, 2013 #8 A 380 ....
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Nov 11, 2013 #9 mimi49 said: si mchezo mpaka na mini bar kwenye ndege!! Click to expand... Alafu wafanyakazi wake wanapendezaaa sana.. Attachments 1384102953448.jpg 28.9 KB · Views: 144
mimi49 said: si mchezo mpaka na mini bar kwenye ndege!! Click to expand... Alafu wafanyakazi wake wanapendezaaa sana..
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Nov 11, 2013 #10 farkhina said: Alafu wafanyakazi wake wanapendezaaa sana.. Click to expand... Mashallah
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,494 Reaction score 4,079 Nov 11, 2013 #11 Na wana customer service ya hali ya juu. I simply like Emirates!!
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 Nov 11, 2013 #12 Hili shirika la daladala nalikubali sana maana linakwenda mpaka kwetu. Nalog off
kitali JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 6,408 Reaction score 9,735 Nov 11, 2013 #13 englibertm said: Click to expand... ninapicha zangu nying nimepiga hilo eneo ni pazur sana ila panalipa zaid kama wewe ni mnywaji
englibertm said: Click to expand... ninapicha zangu nying nimepiga hilo eneo ni pazur sana ila panalipa zaid kama wewe ni mnywaji