Mambo ya coco beach hayo

Ha ha haah,,,,,,!!! Ndio maana sipendi kwenda pande hizo.
 
Halafu umenikumbusha leo nitazuka pande hizo
 
Huyo mdada mwende bra anamwambia mwenzake angalia huyo mbaba dudu yake imenanihii sijui kaona nini mpaka imenanihii lol!!!! hahahahahahah.

Aiseee jamaa atakua na ASHKI majinuni sio bure au huyu ndio yule mbunge wa ASHKI majinuni???
 
Watu lazima washtuke maana wanaona jamaa kaikoki pisto tayari kwa mauaji.
 
Ha ha ha ha jamaa akili yake sijui kaipeleka wapi muda huo, si ajabu hapo anawaza jinsi anavyobanjua amri ya sita na mmoja wa hao wadada.........huyu jamaa ukisikia kabaka wala usishangae.
 
....Hahahahahahah lol!!!! labda ndiye huyu huyu mpwa, halafu hata haoni noma kajikausha utadhani siye lol!!!!

Aiseee jamaa atakua na ASHKI majinuni sio bure au huyu ndio yule mbunge wa ASHKI majinuni???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…