Mambo ya afya haya

Wanajua ila wameshindwa kutatua tatizo. Ni rahisi sana kama wataamua kwa dhati
 
watu kama hawa nina mashaka kama kweli wanaweza kula kile chakula cha falagha
 
suruari anaifungia wapi sasa,

hapo mlegezo unakuhusu haijalishi unapenda hupendi.
kuna mmoja yuko hivyo miaka 30 hajaoa na bado akipata mtu anaye kubali alivyo analeta kutotulia aanachwa daily halafu anajifanya yeye ndo anaacha.angekuwa na hela angewapata ndo hivyo mshahara wa kima cha kati ni shiida
 

Hilo nalo neno eeeh...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…