Mambo! wazima nyie?

mbona hivyo tena? mtu akisalimia kalewa?au kwa vile mmeo mlevi basi ndio unafikiri watu wote walevi?
Mume yupi?!Yule nliyemchukua kwako....?!Mbona pombe kaacha siku nyingi!!
 
Huko uswahilini kwenu sijawahi hata kutia mguu kwahiyo labda unifuate nilipo na matarumbeta yako...!
mimi ni mgombea ubunge 2015.ila nakaa uswahilini ndio.kwa hiyo ww ni ni matawi ya juu?
 
mimi ni mgombea ubunge 2015.ila nakaa uswahilini ndio.kwa hiyo ww ni ni matawi ya juu?
Hhahhahha....eti mgombea ubunge!!Kwa hali hii niionayo hapa????Mbona naionea huruma nchi yangu!
 
Kwani lisipokua jimbo langu ndo nifurahie likipelekwa kuzimu!!!?
sasa hvii nakuona unavyopewa good time na magamba ..umeme full time.sema watu kama nyinyi baba zenu ni mafisadi
 
sasa hvii nakuona unavyopewa good time na magamba ..umeme full time.sema watu kama nyinyi baba zenu ni mafisadi
Hahahaha,...mbona mwenzio nafurahia mwanga wa mshumaa saa hizi!Ufisadi nausikiaga tu!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…