Kama hujawahi sikia binadamu jasiri; basi kafanye kazi au kaa upige story na hao jamaa !
Hawa jamaa ukifika pale yard chang'ombe wanayajua makaburi karibu yote, ukiwa una ndugu yako pale ambaye hujui kaburi lake, hao jamaa unapowatajia tu basi watakupeleka mojakwamoja hadi kaburi la ndugu yako.
MAAJABU
Kuna Booking ya makaburi ya watu maarufu ambao wamesha jichimbia tayali tayali Kwa kuhofia maeneo kujaa!
Lakini pamoja na hayo.
Jamaa wanadai kwamba hadi sasa maeneo yamejaa kiasi kwamba huwa wanafu********** baadhi ya makaburi yaliyosahaulika punde wanapopata tenda Mpya!
Kiufupi ni mambo ya kutisha sana yanayofanyika na hayasemwi.
Serikali ingetenga maeneo mapya ili kuepusha Hayo yanayofanyika pale!
Watu wapo kikazi zaidi ya utu!