๐— ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐˜†๐—ผ๐˜†๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—ง๐—˜๐—–๐—ก๐—ข ๐—ฆ๐—ฃ๐—”๐—ฅ๐—ž ๐Ÿฐ๐Ÿฌ ๐—ฃ๐—ฅ๐—ข

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
1_20250710_185836_0000.png

Ukiachana na TECNO SPARK 40 Kuna simu nyingine inaitwa TECNO SPARK 40 PRO ambayo kampuni ya Tecno waliweza kuitangaza kupitia page Yao ya @tecnomobiletanzania

Sasa usichokijua kuhusu simu hii mpya โœ‹

๐Ÿ“ฒ Kioo chake ni inch 6.67 + Amoled display ikiwa na refresh rate ya 144Hz na resolution ya 1.5k inaku fanya utizame video kwenye ubora wa hali ya juu bila kuumiza macho unaotoka kwenye mwanga wa simu yako.

๐Ÿ“ฒ Simu hii imekuja ikiwa na rangi kuanzia black , Moon Titanium, lake blue pamoja na bamboo Green.

hq720.jpg

โšก Processor yake ni MediaTek Helio G100 Ultimate.
๐Ÿ’พ Ram yake ni 8GB
๐Ÿ’ฝ Storage yake ni 128GB + 256GB internal storage
๐Ÿชด Inakuja ikiwa na Android version 15 na HIOS 15.1 bila kusahau Teknolojia ya HIOS Ai.
๐Ÿ”‹ Betri lake ni 5200mah + 45 super charging
๐Ÿ“ธ Camera yake ni 50Mp main camera + front camera 13Mp.

3_20250710_185836_0002.png

๐Ÿ“ถ Free link tech inayokuwezesha kufanya mawasiliano sehemu ambayo hakuna mtandao kabisa kwa kutuma ujumbe na kupiga simu.

Fingerprint yake iko pembeni sehemu ya kuzima na kuwasha simu yako, speaker zake ni Dolby Atmos zenye kutoa mdundo mtamu wakati unasikiliza kitu kupitia simu yako.

2_20250710_185836_0001.png

Pia ina uwezo wa kuzuia vumbi na maji kwani ina IP64 rating ni simu nzuri kuanzia designs, muonekano na Utendaji kazi wake kwa wale wapenzi wa mid range phone basi hii sio ya kuikosa.
 
Nilitaka nivurugike, sasa nimegundua kuna spark na camon..
Tofauti ya hizi ni nini.. ipi flagship yao tekno
 
Kama unatangaza biashara toa na bei kabisa
 
View attachment 3400553

Ukiachana na TECNO SPARK 40 Kuna simu nyingine inaitwa TECNO SPARK 40 PRO ambayo kampuni ya Tecno waliweza kuitangaza kupitia page Yao ya @tecnomobiletanzania

Sasa usichokijua kuhusu simu hii mpya โœ‹

๐Ÿ“ฒ Kioo chake ni inch 6.67 + Amoled display ikiwa na refresh rate ya 144Hz na resolution ya 1.5k inaku fanya utizame video kwenye ubora wa hali ya juu bila kuumiza macho unaotoka kwenye mwanga wa simu yako.

๐Ÿ“ฒ Simu hii imekuja ikiwa na rangi kuanzia black , Moon Titanium, lake blue pamoja na bamboo Green.

View attachment 3400554

โšก Processor yake ni MediaTek Helio G100 Ultimate.
๐Ÿ’พ Ram yake ni 8GB
๐Ÿ’ฝ Storage yake ni 128GB + 256GB internal storage
๐Ÿชด Inakuja ikiwa na Android version 15 na HIOS 15.1 bila kusahau Teknolojia ya HIOS Ai.
๐Ÿ”‹ Betri lake ni 5200mah + 45 super charging
๐Ÿ“ธ Camera yake ni 50Mp main camera + front camera 13Mp.

View attachment 3400555

๐Ÿ“ถ Free link tech inayokuwezesha kufanya mawasiliano sehemu ambayo hakuna mtandao kabisa kwa kutuma ujumbe na kupiga simu.

Fingerprint yake iko pembeni sehemu ya kuzima na kuwasha simu yako, speaker zake ni Dolby Atmos zenye kutoa mdundo mtamu wakati unasikiliza kitu kupitia simu yako.

View attachment 3400556

Pia ina uwezo wa kuzuia vumbi na maji kwani ina IP64 rating ni simu nzuri kuanzia designs, muonekano na Utendaji kazi wake kwa wale wapenzi wa mid range phone basi hii sio ya kuikosa.
Hapo kwenye fingerprint wamezingua. Inatakiwa modern phone iwe na sensor mbele ya kuioo
 
napendaga sana maada zako mpendwa. zinatufungulia jicho la3 nakutupa picha yakesho yetu isio kua nashaka yoyote.
yajayo yanafurahisha saaana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom