Negative assumption km KITU haujui we unakua zombie usiingilie taaluma za watu kifikra au kihisia km hauzijui fika wewe km ni Daktari alafu unazungumzia Ujenzi wa Ghorofa km Mwili wa Mwanadamu ulivyo hapo umefeli pakubwa fikra na hisia zako zimekuponza
Umeshasema akitoa siri atakatwa ulimi sasa huyu aliyezitoa hizi mpaka na wewe ukazipata ilikuwaje, hizi jamii za siri freemason, illuminati na Freemanbase huwezi kupata hizi habari zao