Ni kweli space ni dark?? Mmh sidhani mkuu sema tabaka lake hali akisi mwanga tu.Mkuu nina swali, kwanini duniani tupate mwanga na in space kuwe dark.
So mwanga wa jua kwanini usionekane wakati unatravel kuja dunian huko kwenye space, kwanini pasiwakemkuu turudi hapo hapo kwenye neno SPACE ,space in short hakuna kitu tukitoa zile nyota na vingine vinavyotoa mwanga ni dark hamna kitu there is nothing
Nilisikia hivyo lakini nikajua msomaji kabugi.^Jua liko umbali wa kilomita 150 kutoka duniani!^ ~ Bibi-sea habari, leo asubuhi.
Remember tunauwezo wa kuona mwanga pale tu inapotokea reflection mfano kati ya dunia na mwezi kuna mwanga wa kutosha sema hatuwezi ona huo mwanga usiku kwa kuwa hakuna kitu cha kureflect hapo ndiyo maana tunaona gizaSo mwanga wa jua kwanini usionekane wakati unatravel kuja dunian huko kwenye space, kwanini pasiwake
Hivi mwanga wa kwenye torch uwa unareflect sehemu ndo tunauona? Si uwa unafikia macho yetu ni kustimulate photoreceptors. Sasa kwanini hilo listokee kwenye space na kuwa hata captured na camera za vyombo hukoRemember tunauwezo wa kuona mwanga pale tu inapotokea reflection mfano kati ya dunia na mwezi kuna mwanga wa kutosha sema hatuwezi ona huo mwanga usiku kwa kuwa hakuna kitu cha kureflect hapo ndiyo maana tunaona giza
Kwenye tochi angalia vizur kule pembeni utaona kuna niniHivi mwanga wa kwenye torch uwa unareflect sehemu ndo tunauona? Si uwa unafikia macho yetu ni kustimulate photoreceptors. Sasa kwanini hilo listokee kwenye space na kuwa hata captured na camera za vyombo huko
Kwenye tochi angalia vizur kule pembeni utaona kuna nini
Torch ina reflectors lakini zile kazi yake ni kuzuia mwanga usisambae uelekee sehemu moja, je bulb mbona haina reflectors lakini ukitazama unaona mwanga?Kwenye tochi angalia vizur kule pembeni utaona kuna nini
Baada ya hiyo bulb hapo mbele kuna reflactor ambayo yenyewe kazi yake n kureflect mwanga kabla haujatoka nje ya torchHivi mwanga wa kwenye torch uwa unareflect sehemu ndo tunauona? Si uwa unafikia macho yetu ni kustimulate photoreceptors. Sasa kwanini hilo listokee kwenye space na kuwa hata captured na camera za vyombo huko
Kazi yake ninkureflect mwanga ili usisambae uelekee sehemu moja kama beam. Mbona bulb hazina reflector na bado tunaona mqanga wake?Baada ya hiyo bulb hapo mbele kuna reflactor ambayo yenyewe kazi yake n kureflect mwanga kabla haujatoka nje ya torchView attachment 2094400
Unajua siyo kwamba na kuchallenge, ila leo mchana nimetoka kutazama video inaeleza kwanini space iko dark na uwepo wa stars zinazowaka. Katika maelezo hakutoa sababu hata moja kama uliyotoa.Nishakusoma n hv mwanga unaotoka kwa torch [emoji363] wenyewe ni visible kwa macho yetu wanadamu
ok sababu gan alisemaUnajua siyo kwamba na kuchallenge, ila leo mchana nimetoka kutazama video inaeleza kwanini space iko dark na uwepo wa stars zinazowaka. Katika maelezo hakutoa sababu hata moja kama uliyotoa.
Ametoa sababu kadhaa lakini still sikuelewa vizuri. Yani sikugrasp sababu effectively.
tupe maujuzi mzeeUnajua siyo kwamba na kuchallenge, ila leo mchana nimetoka kutazama video inaeleza kwanini space iko dark na uwepo wa stars zinazowaka. Katika maelezo hakutoa sababu hata moja kama uliyotoa.
Ametoa sababu kadhaa lakini still sikuelewa vizuri. Yani sikugrasp sababu effectively.
YOUR FIZIKS IS TOTALLY DEAD AND LONG BURRIED! Si lazima mwanga uakisiwe ndipo uuone. Mwanga wowote unaweza kuonekana ukitoka kwenye source yake kuja kwako (given huo mwanga una range ya frequency ama wavelength unayoweza kuselehiwa (accommodated) na macho; au vinginevyo utumie vifaa husika vya kuubaini).Remember tunauwezo wa kuona mwanga pale tu inapotokea reflection mfano kati ya dunia na mwezi kuna mwanga wa kutosha sema hatuwezi ona huo mwanga usiku kwa kuwa hakuna kitu cha kureflect hapo ndiyo maana tunaona giza