Yanayoendelea bungeni ni kwasababu mbili tu za msingi;
Mosi, Spika ameshindwa kulimudu bunge kwahiyo anayumbayumba hadi atakapopata pa kushika ndipo mambo yanakwenda.
Pili wabunge wamebuni mbinu mpya ya kujiongezea posho kwa kufanya mambo ya kihuni ili tu bunge liahirishwe na by default siku za mijadala zinaongezeka na hivyo wataendelea kuhudhuria chako ni chako.