Kwanza kabisa JK hajasema fiesta itafanyika east africa kasema wataandaa biggest talent search east africa (Hii kitu itafeli kenya na uganda).
.
Kingine kazungumzia kuendelea kudominate soko la televisheni tanzania kwa miaka 20 ijayo (Hii kitu ni ndoto clouds sio BBC news).
.
Clouds imepoteza mvuto kabisa kwa sasa ubunifu wao ni analog kwa sasa, wasafi ata take over upande wa burudani 100% ndani ya miaka mitatu ijayo.(wasafi ni burudani tu hakuna taarifa ya habari wala vipindi vya watoto).
.
Mwisho. Clouds wakiandaa show siku moja na wasafi nairobi, dsm, kampala ama kigali wasafi wanabeba watu wote.(Rwanda hawamjui whozu maua sama hawajui nyimbo zake hawana msanii mwenye ushawishi nje ya TZ kwa sasa zaidi ya kiba)