Ni maika mingi nimeacha kuangalia comed za tv baada ya orgina comed kupoteza umaarufu na nilikimis sana kipindi cha mambo na vijambo cha chenel 5 miaka takriban mitatu iliyopita,
Nilikua mshabiki na mpenzi mkubwa sana wa hawa waigizaji na watunzi wa hii comedi
ASANTENI SANA EATV KWA kuirudisha MAMBO na vijambo!!