Mambo muhimu ya kuzingatiwa kwenye KATIBA MPYA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo muhimu ya kuzingatiwa kwenye KATIBA MPYA

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by charityboy, Jan 7, 2011.

 1. c

  charityboy Senior Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. KUANZISHA MAHAKAMA YA KADHI
  2. KUFUTA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA
  3. IRUHUSU MGOMBEA BINAFSI ktk ngazi za udiwani na ubunge
  4. Raia wawe registered kiwilaya na sio watu kutoka moshi kuja kumiliki ardhi sehemu nyingine.
   
 2. c

  charityboy Senior Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  5. kufuta ubalozi wa vatican tz au kujiunga na OIC
  6. Serikali kutambua dini
  7. Mgawanyo wa madaraka baina ya waislamu na dini nyinginezo.
   
 3. F

  Fungu la kukosa Member

  #3
  Jan 7, 2011
  Joined: Jun 16, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo muhimu ya kuzingatiwa ndani ya katiba mpya iwapo itaanzishwa ni kuipa mikoa hadhi ya kujiaandalia yenyewe mipango yao ya maendeleo kwa kutumia fedha zinazokusanwa na mikoa yenyewe pasina kungojea fungu la fedha(budget) toka serkali kuu.

  Idadi ya vyama vya upinzania ipunguzwe hadi kufikia vyama vitano tuu. Kwani utitiri wa vyama vingi vya siasa utaongeza mwanya wa kuwagawa Tanzania kwa mising ya aidha ukabila au itikadi ya vyama vyenyewe-na hasa pale chama kitakapokuwa na sera za wasi zenye mlengo wa udini,ukabila au ujimbo.

  Tanzania iondowe ubalozi wa Vatican na ibakishe ubalozi wa Italy. Kimsing Vatican ni "state" na sio nchi.
  State ni serkali ndogo ndani ya nchi yenye mamlaka ya kisheria inayoishia ndani ya mipaka yake iliyo ndani ya nchi. Hadhi yake na mamlaka yake huishia ndani ya nchi husika na si zaid ya hapo. Kwa mfano, jimbo la Califonia, Chicago, Horizona etc. Majimbo haya huitwa states ndani ya nchi ya the USA.
  Mifano mingine ya states ni Kingdoms za Buganda, Bunyoro Kabaka na Mukama zilizopo nchini Uganda. Mamlaka na power za serkali hizo ndogo huishia ndani ya mipaka ya Uganda tu. Kimsing States hazina uwakilishi wao binafisi nje ya nchi-matahlani kuwa na Ubalozi wa kuiwakilisha state nje ya nchi.Ndiyo maana hakuna ubalozi wa Califonia wala wa Bunyoro hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla sasa huu ubalozi wa Vatican unafanya kazi gani kama si kuuendekeza udini?
  TUWE MAKINI WA TANZANIA NDANI YA KARNE HII YA 21
   
Loading...