Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,751
- 5,623
1.Hakikisha unazaliwa upya 2022
2.Acha kuishi kwa mazoea.
3.Usiishi na kumbukumbu za waliokukosea 2021
4.Usiishi kwa kutegemea miujiza fanya kazi.
5.Usiogope kuchekwa unapojenga misingi ya kesho yako.
6.Liishi neno la Mungu na ongeza mahusiano na Mungu.
7.Tambua hakuna anayeweza kuyabadilisha maisha yako zaidi ya Mungu na wewe mwenyewe.
8.Jifunze kutoa Sadaka kamili inayofanana na ulivyobarikiwa,hii ndiyo njia pekee ya kuongeza baraka zako.
9.Ongeza muda wa Ibada kati yako na Mungu .
10.Using'ang'anie kuishi na watu ambao Mungu anajitahidi kukutenganisha nao.
11.Jitahidi uyaguse maisha ya wengine kwa wema.
12.Linda sana moyo wako kuliko vyote ulindavyo.
Nakutakia kila la kheri 2022

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app

work hard+saving... hayo mengine ni upuuzi tu ambao unatakiwa kuachwa mwaka huu.