- Thread starter
- #21
Vilevile kama kampuni yako inaugunduzi au umejikita kwenye mambo ambayo unaona unataka uwe na faida nayo usisahau kupata utaalamu kuhusu Copyright na Patents ni muhimu katika kuangalia biashara yako inakuwa kubwa na salama
Naomba hili nilisisitize hata kama kampuni yako hajafanya kazi au biashara husika lakini una TIN number returns za TRA ni lazima kupeleka ndio maana wanaruhusu NIL returns.
Ahsante