Jana nimefiwa na Dada yangu hospital ya mkoa wa Kigoma-Maweni kisa umeme umekatika na hospital ya mkoa in 50 years of Independence haina hata generetor ya milioni tatu.Asalamu wakuu,kuna hoja ya msingi ya kuyakumbuka yale yote yaliyowakumba watanzania hasa kwa sababu ya ccm.Hii ni kuwakumbusha kuwa wasikosee bali wafanye mabadiliko hapo octoba 25,mfano ni ahadi hewa,escrow nk. Endelea kuyaorodhesha.