Anyways msio na bando iko hv,gen z anasema wanajeshi ni rafiki zao kwakuwa wanakuwa wote kwenye maandamano,na wakiwa na wanajeshi polisi hawapigi mabomu ya machozi
Wabunge wakorofu wametenda haki kwa kuharibu nyumba zao
Sasa wana maadui watatu,kwanza Ruto,pili polisi na tatu viongozi wa kanisa kwakuwa wameenda ikulu
Kuhusu polisi,wanasema hivi ukijua polosi wanakaa wapi washituane wakawafanyizie