Kisoda2
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 2,475
- 747
Kuna jamaa alipewa hela zake kama urithi toka kwa wazazi wake.
Bingwa kwa akili ya haraka kwanza akazisweka kwenye kiroba na kutokomea nazo porini kwenda zificha, ili aape muda wa kupanga nioni afanyie.
Alipofika porini alichagua mti mmoja na kuchima shimo chini yake kisha akafukia kiroba chake. alipomaliza aliamua kuupiga picha ule mti ili aweke kumbukumbu na kisha akaoweka eneo la tukio.
Alipofika home akaichukua ile camera nakuanza kuangalia picha alizopiga huku akitabasamu!!
La haula la kwata!! picha ya kwanza tu,akaona kumbe juu ya ule mti kulikua na MTU amepoze juu akitabasamu na yeye!!!:croc: