Mambo mengine mmh!!

Kuna mjapani alikuwa anatufundisha Physics Shybush, alikuwa anavaa kila siku shati na cadet zinafanana, tukawa tunajua hana nguo zingine.

Siku moja tumepita kwake kaanika pair kama 15 ya nguo zinazofanana, ilibidi tuitane kuoneshana.
 
Hahahaha!!

Ndio inavotakiwa, mim nguo zinazofana sifui moja moja, narundika ili nizitandaze kwenye kamba
 
Kuna mjapani alikuwa anatufundisha Physics Shybush, alikuwa anavaa kila siku shati na cadet zinafanana, tukawa tunajua hana nguo zingine.

Siku moja tumepita kwake kaanika pair kama 15 ya nguo zinazofanana, ilibidi tuitane kuoneshana.

Huyo mjapani alikua hali chakula cha wanafunzi bwaloni kweli? Kuna mmoja tulikua nae alikua anapiga nguo za kadeti za kijivu shule moja ya ufundi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…