Habari wanajamiiforums,
1.Wakati nawaza juu ya kukosa mtoto kwa miaka 2 tangu nifunge ndoa na kunifanya kukata tamaa na maisha. nikawa napitiapitia majukwaa mbalimbali hapa jamiforums nikakutana na thread ya mwenzetu Folk (akiwa Ameambiwa Na Dr Wake Kuwa Anasiku Chache Za Kuishi) nilihisi tatizo langu ni dogo sana.
2. Mda wa saa 9 Wakati nawaza Kutafuta Mchepuko Wa Kuzaa Nao mara pap nikapata taarifa juu ya watu waliong'ang'aniana wakati wakichepuka (tena ni mama mchungaji na mwanaumea ilibidi nijiapie kutochepuka maishani mwangu.
3. Saa 11 wakati nikiwa na stress juu ya kamshahara kangu kadogo, Mara akapita mdada akiwa anaendesaa baiskel huku anamtoto mgongoni, mzigo kwenye keria na kabeba mzigo kichwani (naambatanisha picha chini). niliwaza na kumhurumia kwa kweri.
Mambo ya kushea na wewe ni
1. KUNA WATU WALIO NA MATATIZO MAKUBWA KULIKO TULIYONAYO REJEA FOLK.
3. NA TULIZIKE NA VICHACHE TULIVYO NAVYO.
Usiku Mwema.