Unaweza ukampa hela weeee na mwishowe akakuona ----- vilevile akampelekea marioo....love has got no formula...toa hela kiasi kma pana uhitaji ukijidai we ni mzee wa chop my money kama Psquare itakula kwako, ujue mwanamke cha msingi ni kutimiziwa tu basic needs zake ila sasa siyo ndo kila saa akitaka wewe ni Yees madamme...sometimes wanaume huwa mnapimwa tu.