Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,938
8. Kujamba mbele ya mpenzi wako
9. Kunya (kujisaidia) bila kufunga mlango (self room)
11. Kunuka ....(boxer)
12. Kunuka kwapa
19. Uvaaji wa kihuni
6. Ulafi
33. Uchafu wa mwili na mazingira.
23. Pafyumu mbaya
29. Umaarufu wa kijinga
Nahisi izo nyingine naeza vumilia ila c tabia hiz25. Gubu
MAMBO MADOGO YAVUNJAYO NDOA.
1. Ulevi
2. Umbea
3. Pedi chafu kutupa uvunguni
4
Sio vyote kwa mtu mmoja, bali kwa watu tofauti tofauti. Kwa mfano mimi mwanamke uweke ped iliyo tumika uvunguni naweza kukuacha aiseee
Jamani mie ako mbunge ni maarufu jimboni kwangu ila kwa sababu hupendi siasa unaona ni umaarufu wa kijinga.Nahisi izo nyingine naeza vumilia ila c tabia hiz