Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 427
- 577
Warumi 8:14
“Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu
Mungu akiwa ndani ya maisha yako atakupa amani ata kipindi cha changamoto, Mungu ndiye anaweza kukupa amani kipindi cha mapito yako na hii inakusaidia kuwa na tumaini pia amani ya Mungu inasaidia mawazo kutotawala akili yako, amani inasaidia akili kuwa tulivu hivyo inakupa urahisi wa kutatua changamoto.
Mungu akiwa ndani ya maisha yako ana kupa nguvu kipindi akili na mwili wako umechoka,
Mungu anajua akili zako na nguvu zako azitoshi hivyo kipindi cha changamoto anakupa nguvu na tumaini ambalo linakusaidia kushinda changamoto.
Mungu anaanza pale akili yako ilipoishia.
Mungu akiwa anaishi ndani ya maisha yako anakupa pia ulinzi wa kiroho na mwili(divine power) ambapo hakuna nguvu yoyote(dark energy mfano uchawi) au binadamu atakaye kudhuru kwenye maisha yako sababu ni child of God(Mtoto wa Mungu).
Mungu akiwa ndani yako atafanya moyo wako kuwa na upendo na mtu wa kusamehe, watu wote walio na Mungu ndani yao wanaishi kwa upendo na ni watu wanao samehe pale wanapokosewa na hii inafanya kuwa na ulinzi, Mungu uwalinda watu wema na wenye upendo zidi ya maadui na dark force katika maisha yao.
Mungu akiwa ndani yako atakusaidia kufanikiwa, kupata heshima katika jamii, kupendwa , kupata favour, kupata watu , fursa na mahusiano sahihi n.k