Halafu ukiwa na mabinti halafu huna hela haikusaidii... Unadhani ni demu gani wa ukweli anataka kwenda kuchapiwa gesti ya alfu 6? Umpandishe boda boda kwenda gesti na kurudi? Halafu msosi wa kubabaisha? Mwisho wa siku utajikuta unawapiga chenga kwasababu huna hela. Cha msingi tafuta hela,kwanza mademu wakutafute wenyewe. Note: hapo kwenye number 1 ndio watu wanakosea. Hakikisha unachukua number ya demu at the first place... Maana usipomuomba namba hata yeye atakushangaa! Sasa mtaonana vp tena!? Ila kabla hujaomba number lazima uijue mood yake kama hapo kwenye number 3 ulivosema. Lazima uweke mazingira ya kuomba number otherwize badala ya number utaambulia matusi au kejeli.